Ktalkets mko wapi

Hapa niko na ratchets sura mbaya na nimelewa bill yangu ni amost 4k, ktalketrs ni inbox before ni black out, niko tapas cielo[ATTACH=full]163365[/ATTACH][ATTACH=full]163366[/ATTACH]

Kijana kama wewe ni government employee you should be caring more about your anonymity.

“Mombasa kuiingia Raha kutoka matanga…”. - Mhenga @Meria Mata

Haha nimelew mbaya nimepeanna countered

enda ulale tusikuone news kesho

hajawai rudi gachie

Mbona watu hupiga food and drinks picha to post online?

nunua tomato sauce ya mchele

Chunga mchele shenzi wewe.

Wacha nikupate hapo Fooder… Niko tu hapa chini naivas… Tapas 4k hata hainunui black level kasee?kwani unakunywa nini?

Anakunywa maji ya kuosha tot glass.inakuaga na kapercentage ka akoho

Make sure they don’t take photos of you(although they ask first…when someone is already drunk)and post them in their website’s gallery.

Very impressive!

Ni Ipad battery inaisha moto ama ni wewe una black out? Kunywa vitu umezoea!

Tapas cielo haikaingi kwa shida hivo , kwanza kwa cabinets za glass kando ya viti kuna pombe za 90k kuenda juu

Hiyo toyota Crown yako itafika nyumbani kweli ama ni story za michele utaleta hapa.

Hahahaaaaaa

Nimependa msemo wako…sanaaa yaani!

Ile Crown nyeusi itaishia njiani…Nairobi haifiki!

Crown na starehe wapi na wapi ndugu yangu!?Hahahaaaa

Ila uongo kando,mkuu unakula bata mpaka watu wanakasirika!Hahahaaa

Kula maisha aiseee!

Totoz za coast piga kama inavyotakiwa,ila linda sana crown wajanja wasije ifanyia biashara fasta!

Hahahaaaa