Due to public demand, I have set up the league early.
All Ktalkers feel free to join.
CODE-
[SIZE=5]1020208-267084[/SIZE]
[SIZE=3]CC @Deorro @Okiya @vuja de @m245 @panktcha @xuma @Gui [/SIZE]
Umekuwa wapi?
Pandpieri All stars nimejoin.
Ulikuwa umetukosea sana.Hii code tumeitafuta sana. As anti lakini
link?
Mayakos Mboys Mband.
Nimejoin
:D:D:D:D:D:D:D:D
Sawa nasija
acha ata ni update yangu inanileteanga issues
ata yangu maze inasumbua :mad::mad:
Iām joining, hii kitu nachukua
Yule kermit mwingine NV ni wewe?
wachana na Bingwa
2 Likes
Waiganjo huyo
1 Like
Hii code inaniambia invalid
ai worked for me