Tunataja tu top 10 pekee
[ATTACH=full]93684[/ATTACH]
Tunataja tu top 10 pekee
[ATTACH=full]93684[/ATTACH]
Nakuona @Kill The Buzz. Arsenali wameniwaste this game week. Tuonane weekend.
@Deorro, hii ligi ina zawadi?
khaard unless talkers wachange.
lakini ile Prediction league ya Ktalk huwa na zawadi plus star kando ya jina
Hao 1 to 3 ni talkers? @Kill The Buzz anatishia my target number…
no 1 nadhani ni indian @123 umecheza wc ?
Fafanua tafasari…
wild card
Twice
leteni code ni ingie
bado sijaplay ya pili but pia na aim hio no 1 @Deorro uko top 10 ?
mimi niko hukoooo nyuma, this season I made lots of mistakes
hehe sasawa
ngojeni next season will be my season…sikua na focus this round… BTW @Deorro unaeza nichekia niko rank gani, nimetry kusaka number nikakosa
Si unipatie ile star ilikuwa ya Jirani.