Mabirrionaire na Machokosh wahuku wanaishingi wapi? Mimi ni ,mtu wa Isiolo.
Rudi isiolo, hapo karibu na total petrol station, kuna ka mawe ya kukalia na mabirrionare kama wewe
1 Like
Upus rudisha kilimani mums!
2 Likes
wewe ni chokosh wa wapi?
bingwa unatusi handle yako ya alshabab
Hagadera
Fala hii usinihusishe na Al Shabaab ATPU wanimulike
mimi naishi kwa Kiwanja hapo
unaona hapo frontier( bt sijui kama bado iko ama ilifungwa)
Isiolo wapi na hakuna mahali sijui huko?
Sema kwenu nianze na wewe kijana.
huwezi tambua
:D:D,Umegwaya CSI ikumulike.
nimeuliza swali mboga sana isiolo wapi?
hehe hawawezi nipata am too careful
garrbaturra
Beach house, Ranch or Nairobi?
sai niko ndani ya mathako
Penthouse Pia
1 Like
COOMER YA PANYA
1 Like
That’s a bit childish of you.
1 Like
suck deez nutz