let assume we are 500 talkers and you buy 2kg of meat from my butchery each weekend ,let us do the maths
800*500=400000
Mimi hukula samaki
:D:D.following
bora una kitabu ya madeni:D
jenga wakanyama naye ajenge @uncle nyam na @Chloe kwa kuwapatia kazi ya mjengo na wajenge jamaa wa turedio,naye jamaa wa turedio ajenge @shemeji pamba kwa mambo ya security and the cycle will continue until all of us will become rich
NA MJAMAA WA POSHO MILL?
it will be 1.2million a month from a weekend sale to talkers only,with that kind of money i will build apartments which guka couch will be the caretaker,buy a matatu nitoe mtoto mzima kwao,start going for medical checkup kwa dr luther,start a cyber and employ @Deorro,marry nefertities
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
tuta upgrade hiyo kisiagi iache kusiaga namba tatu pekee
WACHANA NA NEFERTITIES.
HUYO NI MOTO WA BLUE
Na mimi?
@Wakanyama=@Carbon
tiga fangi karii ke wikiriirwa chaini wa thaa inya wamami?
nitakukamua daily
@Wakanyama revise hesabu zako. Hapa unique talkers naeza sema hawako more than 200, lazima u-account for multiple handles. Ask yourself why on a site with over 2000 members you keep reading comments from the same 10 to 20 mofos. Halafu uconsider pia kuna vegeterians, na Talkers wengine wako majuu, so hao warule out. Finally, kumbuka majority ya Talkers wako msoto, ni masufferah wa Jah. Yaani nyama hao huinteract nayo Christmas day na pengine Easter. Ukipiga hio hesabu utaona hapa hakuna biashara.
si utupatie date uone sisi ni tofauti,@Carbon ni cleaner at karen c primary school na mimi ni kabutcher hivi hivi
you had everything laid out well, until you thought you could pet a piranha
Mimi ni watch man at hillcrest karen.
@Purr_27
@Nefertities =piranha