Kesho ERC itaongea, bei ya fuel itapanda au itashuka?
Hebu predictini vizuri ili tujaze magari zetu saa hii au tugojee kesho.
Naskia western kuna shortage tiyari.
itashuka…peleka hiyo ikwiti…
Are you shua
Odds Ni 0.05 kupanda. Kutopanda Ni 5000. Wekelea tukule ma lanye size ya @Guru kesho.
1 Like
There was shortage of fuel in Kakamega today.
:). Tiga wana
2 Likes
marketers are hording, means kesho the price will be higher
crude has been on an uptrend since feb
Bei kuongezeka
They also refuse to stock ili wasichomeke na price drop.
1 Like
Si watengeneze hizo Model3 haraka hii story petroli iishe
Nikii kihiki understanding?
1 Like
riiiiiiink, evidence?
1 Like
Kìega gìtarì maùndù fote
1 Like
No link. Those are confirmed changes. Kerosene up 1.80
Nakuru KPC pia kumekuwa na shortage for the past two weeks.
I thought mbirionaires watauliza kama bei ya Jet A1 imeshuka.
1 Like
Si hiyo ni kerosene na hii joka imesema imepanda
1 Like
[ATTACH=full]37002[/ATTACH]
2 Likes