Ktalk Legendary Members gone Awol!

Memories na maoni yanayo umisa mimi moyoni…sikilia mimi nisipige mtu…

I had been a passive member (reading posts only) on Krost and active (naeza tusi NV fulani) kiasi  on Ktalk but sio kupost thread za umeffi. The good days of Krost are gone...that happened and we accepted it. 

Then Ktalk came up and most Krost members came back to life. It was smooth sailing down the river until chokosh wars happened, Siberia/Alaska punishment happened, now they (the others… @aviator, @Wakanyama, @Jirani, @Jazzman, @jaymoh and btw jojo makena amewajoin so you can imagine hio kijiji iko namna gani) are on an island somewhere in the internets ocean (read Lost series) fighting each other like cannibals…but they still thrive here among us, like shadow people…hehehe.

Then admean and tikteta teorro had this innovative but terrible idea to introduce Kcr to all members  in an effort to increase traffic on this site...wuuueh! Hapo ndio umeffi posts in Ktalk went on warp drive. Ktalk members were not left behind in the race for Kcr...multi-handos zikazaliwa faster than how @tall mnyama everywhere na @Kelele tu ask for kunguru hotspots gps coordinates and contacts.

 Musito @Meria Mata alikuwa na Kcr mingi kama njugu, anaulisa swali na ukipata unatuzwa Kcr which = airtime. Hapo ndio @LIEN na @delicious shiero alisaliwa btw. Mayai za tikteta zikahara kwa hii site mpaka akaona hio rada ya Kcr haileti shangwe akatoa story ya Kcr baada ya kutokelesea kwa gunia wiki hii- mayai za teorro edishen. @culture alisirika sana kwa sababu hakuwa ameredeem Kcr zake na tikteta alifunga hio chapter. Akaamua hatakuwa akisafisha members mecho...badae alienda mitini mpaka wa leo. Mecho ya elders ikawa chafu saidi kwa muda mrefu sana.

The multi handos mentality which was set forth back then still haunts us to this day. Meffi posts everywhere you go. NVs wa hio time must be SVs or VEs by now. So unapata mtu ni VE lakini post zake mingi ni meff tupu na kutusi other respectable VEs ovyo ovyo mods wa tikteta wakiangalia tu (noticed pink handos are mods now...mafeelings nazo kwa comments?) Bad move tikteta,  bad move.

Wasito wengi walipotea hii kijiji kama @wildfrank, @Fala12, @Okiya, @The.Black.Templar, @introvert (gunia wiki hii ilienda wapi?), @Guru, @Female Perspective(i know what your thinking talkers, thats not it), @Meria Mata, @mouraythee, @Adeudeu, @Kihii Kiaganu, @KaBuda, @Engiti, kidogo pia ango @uwesmake alikuwa MIA akiwa deep cover mission ya navy seals lakini alikuwa area bado.

Its sad that quality threads(hekaya za kusisimua kama za @Adeudeu, mashakura ya @Gio na @Kihii Kiaganu, uwongo za @KaBuda though well scripted and many more) are hard to find nowaday’s. No wonder sijawai pata logged in members wamepita 100 mark. Most Ktalk legends read in guest mode or wako tu hapa na pale wakipeana likes lakini hawaongei.

Bottom line is that some talkers leave a huge black hole when they leave and we still remember them fondly like it was yesterday ata kama hatujuani.

So fellow SVs, Kcr VEs tuwapee wasito the respect they deserve. No wonder ata NVs hawapewi quality seats wakijoin kijiji. Nkt!

Nimevaa helmet. Acha niendelee kumesa jug daniels pole pole hapa Uncle Sam.

Ni hayo tu kwa sasa.

,

Nilidhani ni kitu ya maana

Hapo kwa DICKtators ni kweli kabisa!

Those talkers are still here

Your memory skills seem to be on point…

Where is their latest content? Nimesema nawaonaga hapa na pale wakipeana likes, kutoa maoni kwa comments hutawapata.

Nice

Nice Avatar pic ya zaraki kenpachi

Always is.

Iza sijakutaja musito.

Hujataja mzito @bjurmann

He was here last week.

Kojoa ulaze kende sasa

@The_Virus

@imei2012

@Gio alienda story ya cheki maneno ikakatika…zile ufala za @roots zilikuwa zimeweza pia…

baba, monkey aliniibia 20,000 likes naomba unirudishie , usiporudisha wewe ni ngombe muzeeee

Hizo likes tulikula na purr :D:D:D

Na ile kijiji ulianzisha kama replacement ya ktalk kulienda aje mpaka hata ukarudi?

dude let me say this again, maybe you missed my other threads Bjurmann logs in regularly when 254 is asleep anasoma na anaenda, I see him online.

I really miss The.Black and his mall and sales tales.