tuko on
@Mundu Mulosi ulisema unatokea?
Imei amenunua fombe?
Na mueke picha hapa…
@aviator unasemaje?
tunachase jameson na beer, hapa sankara ya superhighway
At Egerton, will be there by 7 pm
Mko wapi nicome saa hii?
Niko hapa mirema tree.
niko ol divai ma old school kiasi,nipe 1 hour nakuja nikununulie guarana
:eek::eek:
unafanya nini Egerton. ninakuwanga huko weekdays
Nyinyi watu hamchoki kurusha mtama
nimefika rakini sioni mutree
Project
kuja githurai yangu ni kubwa
kubwa kama ire pipe ya kanjo ya maji iko pare garden estate kwa edenville infanya barabara kutetemeka?
[SIZE=1]najuriria mutu anaichi hapo[/SIZE]
Niko Aqua kwa chopper.
Niko red office. In a Sirkal jersey
Cousin yangu humeza hapo Monaco. I hope si mmoja wenyu.
Naenda hapo after hii massage extras.
Niggas don’t want us to know where they are. Tuko na pesa kama mnafikiria tunakuja kukunywa fombe yenu. Hebu nimaliziwe service hapa shell niingie red office.