Atuwezi Fanya vile klost ilikuwa ina meet and wanachangia the needy in society? Nakumbuka jakeino alipotea na pesa zetu za mchango ( haidhuru)…I just want to see @Purr_27
MANKI ANAWEZA HEPA NA PESA YETU , UNLESS IKIWE NI BASH NIKAMUE NEFAMATITI CHOKOSH STYLE
weka facts na uwache kelele…
Patieni pesa watu wanajiweza, mtu anakula 850k per month bila kupiga kelele, @Okiya, sijakutaja
Bado nikona ile receipt ya kununua vitu
Zile zilichangwa za mathare hospital. 15 k ilienda missing. muna delete hio receipt tuki appload… Tulisha wa samehea. I just WANT to see @Purr_27
May God forgive you.
:D:D:D:D JUICY!
[ATTACH=full]24167[/ATTACH]
Ni kama @Okiya ako london city
Niko hapa most days…umeshaniona…
Hehe naona utaanza ku stalk @Nefertities
hehehehehe, inaitwa bafu chafu.
Unco wapi mbicha za mama clinchy akimrukia B.O.B at Jameson Live? ama hukuenda?
Utalijua jiji!
CLICHY SI CLINCHY , NA SIWEZI WEKA PICHA YA BIBI HAPA, OTHERWISE THE EVENT WAS GREAT BUT ALCOBLOW WALINIIBIA
HII KTALK VENYE KILA MUTU ANACATCH FEELINGS KITU KAMA HIO HAIWEZI PANGIKA