Ktalk end of year bash.

Wadau. Mimi kama mwanakijiji niko na proposal moja ya maana sana. Napropose ya kwamba hii mwaka ikiisha tuhold bash ya ktalkers. Tukutane pahali fulani na tukule mbuzi plus maji ya wazee. Lakini tusiblow cover. Tumaintain our pseudo. Je itawezekana?[ATTACH=full]199151[/ATTACH]

Siwes tokea juu sina cover.

There is nothing to fear my brother.

Unapata wapi hio st georges huku kenya

Uko Kwa meza gani nikuje [ATTACH=full]199155[/ATTACH]

[ATTACH=full]199158[/ATTACH]

This subject has been proposed since time in memorial :

[ATTACH=full]199159[/ATTACH]

:smiley: hizi pombe…heheheee…hapa naona kuna walevi wa tabaka mbalimbali

Immemorial
In recent memory

. [ATTACH=full]199163[/ATTACH]

Vaa wig brarry nùgù.

Ya tatu kutoka nyuma

Walai staki kuona kitu inaitwa pombe!

Yes. we can do it at the beer garden. Bole area

I miss you anjii.

Hekaya officer?

Jana nime mix walia ,guda na baros niliona siku mrefu.

Jana I had alot halafu mrembo akatoklezea kumbe fobe mingi na kukulana waah leo nimeshinda nimebondeka Sana…uzee imeingia

Sema magoro kuchoka hadi toilet kuenda ni kibarua.

Afande hata kama ni kuokoa si uchukuage room ya maana kidogo:D:D:D