Ktalk avatars

Being a slow Monday na venye hii kijiji imeboeka ebu tuchambue avatars za watu na ni ipi kali.

Yangu…

Hii fulana yangu iko on point mbaya. Inazuia baridi na iko na swag

1 Like

ILE MFUPA @junkie AMEWEKA NI YA KUFUNGA WATU MACHO WASIJUE NI SEWER CHAIMAN

1 Like

usinisumbue.na watch john snow akikamuiwa na lord bolton
[ATTACH=full]44959[/ATTACH]
meffi wewe

lord bolton ame munchiwa na dogi zake
[ATTACH=full]44960[/ATTACH]
napenda sana

1 Like

nimefurahi kwa mbicha ya me

LIFE IS NEVER AN OPTION,SUICIDAL NIHILISM IS THE WAY,CHEKI BISHA:rolleyes::rolleyes:

Mr. Loverman

Chairman Golden gloves sacco Arsenal branch

2 Likes

This is the platform that i can be a vile, virtually…

very apt handle too

Damu yangu ni rangi ya samawati.

Yangu ni ENKI, the Savior and benefactor of mankind.

1 Like

[ATTACH=full]44973[/ATTACH]

mpenda amani huyu…I hear them say ati siwezi harm a fly.

[SIZE=6]Kill The Mbuzi. [/SIZE]

2 Likes

Hiyo paka yako gives me the creeps…
Walking kanyau…?
Spooky.

2 Likes

Ya gashwin ndio kali

mystery man

1 Like