1 Like
Biashara imekuwa ngumu kenya, iwe pombe, iwe soda, inabidi watu waambiwe watashinda kitu ndio wanunue.
1 Like
Yes rasta
1 Like
Kuna MTU huko Tiktok huenda base ya keg asubuhi kukunywa daily alafu anabrag about drinking daily
2 Likes
