Ksh 6,300 arrears

1 Like

.. what will happen kanisa isipo zika mtu. Juu kuna wale hudedi.. wanabaki pale say kwa msitu, kwa milima.. na wale hufa maji. Watu ya church wanataka kusema hao huwa hawaoni mlango ya mbinguni?

Sasa hio ni kitu ya ku stress wanaobaki. Hizo ni rituals tu… kama zile za mababu zetu.

Hapa lazima kuna siasa ingine deadly sana. Ukiskia pesa imepotea kanisani ujue most likely ilikuwa pale kwa catering.

1 Like