KRA tax performance.

Wapi wale wa ati peasants don’t contribute anything? PAYE and VAT has surpassed even corporate tax. @captain obvious akiwaambia look into statistics, please listen, because statistics are the one that tell the truth.

[MEDIA=twitter]1546070697935527937[/MEDIA]

Fuck KRA … I ain’t paying shit.

Alafu after kufinya peasant achangishe hizo pesa zote, zinaenda kwa mifuko ya watu wachache wezi sugu kwa system. Silipi kitu hadi siku tutanza kutreat street thug na mwizi wa gava the same.

Kama KRA wanajua wewe una exist hii Kenya, ni muhimu ku file ata 0 returns.

otherwise utapata wamekua waki kuwekea penalty na interest on penalty ukienda kuchukua compliance certificate unakuta ma areas za pesa mob.

Sijai kosa kijaza nil returns, kwanza mimi husubmit january:D

Hii ni kitu nanunua na 5k. Hakuna returns na file …

True, old Agip house kumejaa ma KRA brokers wanaweza ata kuwekea tax credits na upewe tax refund after filing nil returns.

Huwa nashindwa how 0 returns inasaidia KRA. Juu hata mbirrionaires file 0 returns and if you fail you are penalised. Upuss

Hio ua ni the first step ya ku kuingiza kwa ‘tax net’

Once uko kwa system, iyo ingine haimatter. Utapatikana tu

Mimi siku file last three years…system iliniboo nkalenga sahi nina denied ya that sita. Hainishtui kabsaa but tax ya doo mzuri ya job mimi hulipa