kplc bure

Sasa nimeamua kutulia niagalie series kejani alafu stima ina potea damn leo nimekanyagiwa cant go n drink

huku kimilili stima iko kwa wingi .

nimeskia first wife wako ameachiliwa huko nyeri kingongo,:D[ATTACH=full]63791[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D ten nil

:D:D:D:D:D

Kwani wamenyonga nare ukiwa juu ya nduthi?

Meffi wewe

:D:D:D Hiyo machungu enyewe si ya series.