KOTO GUYS :How do they do it ?

I recently came home to find my house wiped clean off the major electronics,watches and some serious cash that was in the house .There was no break in as the fuckers opened the new padlock -na si try circle -with so much ease.The caretaker couldn’t have been involved(he’s(55) my uncle & I’m the landlord ) so I’m still trying to come to terms with how it happened .Are most of these jobs organized locally or ni kubahatisha ?

Ni wale malaya unaleta kwa nyumba. They sold you out. A thief will not break into your house unless they have a good idea of the likely returns.

Those guys hubahatisha,

Naishi mtaa yenye keja kupigwa koto ni kawaida. Reasons why i work indoors. Dont trust anyone with your keys even your friends or girlfriend, itapigwa photocopy kwa sabuni na ikatoleshwe. Ati have my spare key…kama sijakuoa kaa kwako mcoosh.

Second kufuli smart ni Mindy ama Viro(i prefer ile ya round na big size). Solex na tri-circle achana nazo. Wapiga koto hubahatisha but i suspect foul play.

Pole sana … leteni recommendations za padlock villagers …pia where to get good bargains for them ju viro haikuwangi mchezo kitu ni ka 5k

Sometimes ni kubahatisha what’s in your house, sometimes it’s people who have a clear idea of what’s in there.
For them to do it they have to monitor your movements though… They know your routine and when to pounce.
Weka hio budget ya 5k… There’s an Asian who sells locks somewhere near Odeon… Lemme try get exact directions… Got mine there.

Nunua Mindy ni 3k thereabouts. But its advisable to buy Viro in the long rung as it has proven immune to koto. You cannot bargain on security matters. Zile vitu ziko kwa keja ni more expensive kuliko hio 5k unakanyagia. Fika bei.

Is is one in some small shop back alley

dealers wa viro na mindy padlocks ni kina nani ama zinapatikana pale riverroad?

viro kubwa 5k tuskys huko town or some of other major supermarkets

Umeibiwa goods za 60k na bado unaangalia bei ya padlock?

Mpya nunua kwa supermarket. Second hand kuna pare ngara ya chini nyuma ya Equity. Kwa hizo vibanda kuna maari maari mingi utapata kufuli poa na bei poa. Pia hapo kariokor kuna ile soko ya mawe kwa round about. Huko pia maari ni mingi. Piga lap utasaidika.

wewe ni mwizi ndio maana hutaki villagers wapate solution

Forget hizi maneno za padlock.

Go buy one of those electronic bolted smart locks that you can control from anywhere. And when someone breaks in it has such a loud alarm that it can wake up a whole area.

Mtu ananganaga kufurnish nyumba halafu zinaenda na siku moja ni kama mtu amekuja shopping ya black friday kwako. Padlock ya maana ni muhimu na si solex. That thing opens na lid ya biro.

Thanks for the leads ntatembea huko ninunue moja poa

Honestly its been a while since I did that …

They still had your records.

temelea Tena City locks hapo APDK house. Penye Akamba Buses used to have their offices. they have good padlocks especially Yale na Viro

Unasema nini ama hujawahi ishi kenya na sio eastlands pekee hata matajiri ya kile, lavi…wanapatanga hii shida especially on Sundays.