Kosa kubwa alilolifanya Melo ni Kutii Sheria

nani atamfunga paka kengele???

[B]https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRmqBF3JDEqVjxnMMXvr-nSGnXyO4Z5iE6XUO9EbeK4v8sOkcRB[/B]

Je kama kanyanganywa hati ya kusafiria

hahahaha aiseee mkuu kizungu waachie wakenya bana go back home soon ndo mashikolo gani haya. Halafu mie hata sitikisiki nipen vyama vyoooteee sitabadili nalichokiandika ikikuuuma jichome doko ulambe

Mkuu kifupi huwezi kushindana na serikali inayotawala kimabavu, unataka Mello aambiwe akalete vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu yake wa pande zote mbili.?

Hapana mie na kama nyie tu habari zote tunazipata mtandaoni

Halafu utafikiri kuna la maana analotaka alindwe nalo kumbe anataka kutukana tu.

Melo alitakiwa kuisajili jf nje ya nchi wala kusajili nje ya nchi siyo kosa hivyo mnaosema habari za jela sijui mnazitowa wapi

Cut the crap and give melo break!

HESHIMA KWAKO KIONGOZI. Nimependa sana hii comment yako. Siku like uzi ila nimetaman n like hii zaid ya mara moja.

Ngoja tusikie kwa Maxence Melo mwenyewe anasemaje katika hilo.

Pamoja mkuu Ndio changamoto

Jf ni mali ya Mello mkuu, muache afanye maamuzi ambayo anaona ni sahihi.
Mi ningekushauri wewe uende nje ya nchi ukafungue forum yako…tutakuja kujiunga.

Ndioooo,na eti kapewa leseni ya miaka mitatu.
Nikwamba katiii masharti yote ndio maana kapewa leseni

Aisee