Narudi kejani masaa zangu za majitu nakuta kila kona iko deserted na ni si ati ni late sana…saa tano.
Na sijakutana na ing’ang’iii na huko nje…where is everyone…ama mlihama Kenya
Rapture will be like that
Idiots were expecting Uhuru kufungua nchi and end curfew. Bado mnasema hakuna corona ama?
hakuna mtu alikuwa na haja na huo upuss hata ktalk there was no active thread on that
Ni kama ndio imeanza kushika huku…saa hii ndio tunafaa kuanza ile lockdown tulianza April
Ulikua unatoka wapi saa sita ya usiku, umewacha kazi ya sigarame umekua jangili sasa?
khaseer meffi ya khukhu dingoingo wewe saitan ati lockdwn irudi kumbaff
Seems people just got naturally bored and moved on
Hahaha nitafute when that happens
Ata ukinitusi haitajibandika…