Kodiaga chronicles

Nothing on Twitter is real. Just a bunch of cloutchasers juvenile Tucker Tucker meffi.

Kwani @Ngimanene na matharo hajaona hii

Mujinga mumama kipii umekaa hivi fwaaa ukaamua kudunga na kunusa.

Hata hapo tu industrial area ukienda day one mtu akupee chakula ya bure kataa… that’s the first rule of prison, lakini fala hajai lala ata cell hawezi jua iyo trick… another trick is to first associate with the much older inmates i.e people in their sixties and especially from your tribe and always be ready to buy them cigarettes to build rapport within the first 2 months (be the one to hand out favors first and not to receive any while still a newbie)… Lastly, share as little as you can about your personal life and background (i.e never reveal whether you come from a poor, average or rich background, watu hukubeba ufala ama kukutumia based on what they know about you, otherwise ukiwa mysterious people will always be guessing)

:smiley: @PHARMACY ameleka mushene twirra . Hivo ndio alifunguliwa boot na @Sura Ngumu

Omwami leta hekaya

Ex-convict @Gaza hebu tuambie vile maisha ilikua kwa Kodiaga ya Canada… ulichunishwa?

I’ve always suspected you to be an ex-convict. Kijiji is a nice place to do psychology thesis

Wueh. Fadhela ata we ukianza hii mtindo then inaonekana kila mtu ni mad man huku

Mbona hio handwriting na way of writing inakaa ni ya talker.

BSc degree muhimu sana

Itabidi you acknowledge the source.

Ghasiaa … mimi nilikuwa a respected gang member wa Fresh of the boat (FOB) gang. Pale jela niliishi as comfortably as was possible. Nilikua napata float regularly kwa acc. yangu so nilikua na influence … u wouldn’t wanna mess with.

@kah tony akuje atuambie Hali ya Naivasha maximum

What did you do ndio ukatupwa ndani? Ulifungwa miaka ngapi?

Nimetubu. Lakini promise utaniletea mbuta pia mimi nipate omega3 oils.

Utanitumanishia address nikuwekee mbuta kama nne ivi na fried omena kwa package iwe delivered

GTA and I was on probation so that fucked me. My lawyer did good tho’ … could have gotten 3 yrs but I got 15 months.

Unaibaje gari-petty crime- na wewe ni cool kid a Scion of the mighty feared and renown rustler clan. Just doesn’t add up . Tema hiyo jaba kijana najua uko pipu ukitype hizi hekaya za abunuasi

One thing got nutting to do with the other cousin, I’m sure ningekuwa on visa singefanya all the stupid shit I did. That wasn’t my first rodeo in jail or gettin’ in trouble either. But was enough for my people to ship ma ass back to this beautiful shithole of ours tho’. I hit my three strikes as fas as they was concerned. And here I’m …