Kodi za kiajabu huku unataka uwekezaji. Halafu mtazamo wa wawekezaji kuwa ni wezi, wawekezaji wanamind.[ATTACH=full]179143[/ATTACH]
Halafu tunajidai sera zetu za uwekezaji ni rafiki…really???
Watakwambia ongezeko la kodi bado ni himilivu
Hatutaki kusikiliza la mtu… tume focus sana kwenye ukusanyaji wa mapato bila kurekibisha sera ziwe rafiki na madhubuti…
Ni sawa na mwenye nyumba ambae hataki kukarabati nyumba yake iendane na kile kitakacholipwa bali yeye hungangania kwenye kupandisha kodi tuu…
Cc: @Mahondaw
!
!
Kukosekana Kwa Ubunifu
Kama jitu lilikuwa mwalimu wa chemistry Leo linajifanya linajua mambo ya kodi ,halitaki ushauri,linajifanya linajua kila kitu.wewe unafikiri kuna kitu kitafanyika hapo?
Mungu amchukue mapema huyu chizi Magufool
Tena achukuliwe mapema kipindi hiki kama atakuwepo baada ya kustaafu abakie tu ili na yeye aisome namba kwa upuuzi alioufanya!
Ubunifu gani unaoutaka zaidi ya huo wa kuongeza kodi? :D:D:D
Nafikiri Kitu kama hicho
Hivi unategemea nini unapokutana na mtu ambaye toka amemaliza hajawahi kufanya biashara yoyote au shughuli yoyote ya kiuchumi zaidi ya ajira? Kibaya zaidi alikuwa anapata mshara kupitia kodi za wananchi bila kujali ubora wa kile alichofanya.
Serekali yetu ya sasa ina watu wasiojua chochote kuhusu uchumi ndio wanaopanga mikakati, na wanaojua hawasikikizwi au nao wamekaa kimya kuangalia mambo. Matokeoa yake wasiwasiofahamu kuhusu uchumi wanaamini katika kukusanya mapato tu, lakini mazingira ya kukusanyia mapato sio shida kwao.