I have a 10mbps Zuku connection yet I can’t stream 1080p videos…what’s the problem here. Some 720p videos have a bit of buffering too. I am using Kodi and Mostly stream from the genesis add-on.
Had same problem jana. Called wasee wa zuku and normal services resumed.
You Nairobi guys are lucky you got Zuku Internet, I live 9kms from msa cbd na Zuku Internet ni hekaya.
Thanks I’ll make this call and see how it goes…
Ngoja ya KPLC
9km? You can rest assured that situation will change pretty soon. I’m really into this zuku.
Yes that will change. Especially now that Babatunde and his group have a big stake @ wananchi and Telkom
Zuku iko Mombasa sana. Change your physical address. Hata Nairobi bado hawajapenya kila mahali.
Think Zuku had a problem jana
@Meria Mata …hamia tudor ama tao bro
It’s not an option at the moment
Jana zuku ilileta shida sana.
Fungua notepad alafu paste hii
1 1.5 104857600Kisha usave as advancedsettings.xml kwa folder ya userdata. Mashida za kubuffer gone. Kama hard disk yako ni solid state drive usitumie.
Hii shida ya kubuffer ni juu kodi imeandikwa ifanye kwa mashini zina ram ya less than 1gb
Nilicheki mahali hizi settings zinaweza haribu RAM
Ni solid state drive ndio itachapa juu iko na finite number unaweza read/write to disk.
Hii ni ile zuku ya satelite dish?
Sisi twatumia cable …
kwani kuna ya satelite?