Also, do phone DVB T2 USB dongles work for Kenyan FTA channels?
Ka una net why go through all that trouble, there are other options you can use to watch KTN online.
1 Like
Kodi ni ya Sports na movies. Ktn ona kwa website yao ama Kenyamoja
1 Like
Nimejua sasa.
Hii Kodi imenianza madharau. I updated it on Ubuntu, and suddenly the addons are no longer working. Inatakaje hii sasa @Jazzman ?
Jarvis iko na ujinga mingi. Nangoja krypton ndio nirudi kumake addon
Sasa inabidi nipige reverse? Damn!
1 Like