KNOW YOUR COUNTRY

HUKU NI WAPI?
[ATTACH=full]54547[/ATTACH] [ATTACH=full]54548[/ATTACH] [ATTACH=full]54549[/ATTACH] [ATTACH=full]54550[/ATTACH] [ATTACH=full]54551[/ATTACH]

hapa ni Ngong Hills? the first photo

Gilgil

Ngong hills wind farm

Mbisha ya mwisho, Mombasa port

1 Like

Olduvai Gorge

2 Likes

hii haiko kule kwa magufuli. yenye walikuwa wanazusha tumeiba kule jamii forums

Mbisha ya mwisho Kakameka river karibu na ile dogi inaitwa sheppart.

Huku si lodwar

european enclaves in kenya!

Wewe hakuna kitu positive unaonanga ikifanyika Kenya…

2 Likes

Turkana

What happened to the wind vanes pale Eastern bypass at some industrial park, hizo zinafaa kuenda wapi?

1 Like

BTW HIZO VANES ZILIENDA WAPI ?

The last time nilipitia hapo bado zilikuwa, they have been there for quite a while

Bubisa.

2 Likes