Know your Country

Guess Meria yuko wapi leo.
[ATTACH=full]21777[/ATTACH]

2 Likes

Kwa bridge:D:p

hehehehehe, niwangenia rushini, i meant name the location.

emali

2 Likes

@emali

1 Like

Zachary wewe mkali sana, kwani huko ndio home?

emali kasee

right on point, namtafta syombua

1 Like

Hio ni SGR?

No

btw @emali mbona ni mahindi peke yake hua inapandwa huku? the soil looks very fertile

voi

offtarget by 300kms

according to me its lack of knowledge or fear of the unknown…kuna watu kadhaa wamepanda other food crops na ziko poa

hey good people, si mtaje jina kamili, pia County

1 Like

County ni Makueni.

How new is that bridge, used to do that route to loitoktok in 2012 and it wasn’t there

tis brandnew, chinku contractors still on site

By any chance did you participate in the recent SGR thing sijui ya ma picture, ilikua advertised kwa newspaper

No, missed it, too bad. ukiona vitu kaa hizo hebu post hapa.