know to check your polling stations details

Niko kwa queue nimeboeka tu so excuse my idle thoughts.
To check your polling stations details u send ua ID number to 70000 no prblm.
what really captured my attention ni ati hio SMS inakula a ferking 10bob…
10bob kila mtu kila sms.
Fanya hesabu how many registered voters have checked their details by now . Yaani by 12noon kuna cartel itakua imebuy Landcruiser na hio SMS charges.
hio 10bob imeniuma sana. Ni hayo tu kwa sasa tupatane kwa debe

Online msee…wachana na sms

sirkal ingesimamia hio manenos buana. and the funny thing hio sms hatumii subscribed sms so hio ten bob inaenda account tofauti

enda website ya iebc

That’s how they feel when you steal their laptops.

iyo ten bob si ununue bundles za 25mb uexheck online na ubaki na za kuzurura ktalk

stamp ni kwa official thread

kumbe wewe ni yellow yellow. karibu nipate jina. inaanza ba E…

Below 5’6

Gay

5,10 maafaka

Sawa ahmed