Knock knock !! Hodi hodi humu ndani

Hi good guys. I am a new member from cross-border.

Ni kuku mweupe mtanitatambua tu kwa kiswahili changu.
Napenda hoja za mazingira, sayansi na mambo ya kijamii.
Salute you all!!
Jigaboo II

Karibu/Welcome.

Who are you omwami ama pia wewe umetoka wakanda county?

Avatar!

Sawa, karibu

Txs. Avatar posted,

Pita hadi chumbani…mlango u waziii…

wewe sio Jingalao kweli ukakosea kuandika iyo ID

Not ur calibre, type & size. Dissaoear into a thin air

Hope ushakua mwenyeji sasa

Mambo mswano

Hahah!! Pamoja sana ndugu yangu