Kiuliso

Nani amegharamia mazishi ya mzito wetu macho nyanya Demethew? Hii pesa serikali inatoanga za kusimamia mazishi lakini Gathecha anasema hakuna pesa Gavana wakiitisha, inakuwanga kwa budget gani? Kwani kuna budget ya funerals?

hii ilikuwa private funding. si public. ni public officers tu walikuwa.

Ruto: Uhuru is a highly blessed man, ukishika kichwa…na mimi nishike mguu…ii itakuwa jambo rahisi sana…

Si nilisikia Mwangi wa Maziwa akisema serikali will take the burden off the family