Is it me or the relationships?it feels kinda weird when i peep in someone phone then naona amesave binadamu" MY LOVE".
Does this things require some training or something close to that ndo uwe na mtu anaitwa “my love?”
Wacha tuchange tukulipie fees. Inaonekana umekaa nyumbani sana. Meanwhile, keti paleee ------------------> _
there are some who do not save the number ya the lucky/unlucky damsel since it is ingrained in our minds
[ATTACH=full]39750[/ATTACH]
Mimi hushangaa kuona watu wamesaviwa ati “my love” “my lovely wife” “my dear husband”
Aya!io fee nangoja
bibi nimemsave my love
ukiongea juu ya bibi unasahau caps omwami ni uoga ya msapere ama nini?
Bibi ndiyo huedit na kuandika hizo vitu.
does it apply to those who r dating or think they r dating?:D:D
Ukibadilisha umeanza vita ![]()
hiyo ni kama vile simba hukojolea vichaka kule jangwani
:D:D:D. Now you can understand what married guys go through.
As long as you’ve shown potential, a woman will always find a way to keep you on a short leash.
mimi nimesave kama “school bus”
Jana amepatwa war the whole night. Tumekesha nayeye kwa gate mpaka asubuhi.
Sisi wajomba zako tulikukataza. Huyu mwanamke atakumaliza mtoto wetu.
hio ni kukaliwa chapati au kukunywishwa supu ya thong
Guilty as charged…
:D:D:D:D