KIULISIO TU

Nauliza aje mbona watu wengine huficha online status yao hapa… Whatsapp ukificha ntakuelewa because you might be avoiding some dudes lakini hapa why are you hiding it??? Others even lock their profiles… Like tf there is nothing of importance to see there so what are you hiding??? Ukiniuliza mimi ntakwambia hio ni umama…

Ngoja uone kafala kakikuja apa kusema ety mbona naangalia mali ya wenyewe ety mimi ndio mama… Nimewasoma kama kitabu

6 Likes

I didn’t even know you could hide online presence

Acha nilock yangu sasa

Wacha nimalise haka kakitu.

Upload picha vizuri nugu ino

hii itakugonga

1 Like

My online status my choice …

1 Like

Niko na ine ka kwanza kananikimbiza uzuri niko kwa nyumba

Ukifika ya tatu utakuwa ukiimba :smiley: :smiley:

NIAJE FATSO

So it can be hidden? Sina shughuli na hiyo feature.

You can hide it when you hover over your name there’s a an option down there where if you un-tick you hide your online status

Umama ya kuchunguza jirani na si jay anapika nini leo. Vile kanono amesema hapo juu pia.

1 Like

^^ Buda nyamaza tu wewe

…was wondering why even have that feature…??

mtu wangu waniagusha
weka mbisha vuzuri

Poa sana mzee mj… :slight_smile:

1 Like

I would like to know the outcome now that presumably you finished the 4 cans.Hiyo kitu mimi naiogopa sana 10% sio mchezo.