Kitungu inuke(Kiambu Natives Only!!)

[ATTACH=full]186881[/ATTACH]

hii ni propaganda tupu … hii job ni very unlikely itafanywa na raia ya kawaida… trust me hii job ishapewa mzee ako ka 57 na ataifanya kwa comp inarun windows 98…

:D:D:D

Windows 98 yenye inarusha error kama guitar.

Na bluescreen kadhaa