Wameanza maandamano,wamesema afadhali wakufie wote saka arudi Hague
Huyu Mkamba ako mbele ni sista ya @pharmacy
Naona Mombasa wameacha uzembe washafika streets Full Force.
Interesting Day ahead.
Huyo ni sista ya @Kiprono_Ian
Wacha katambe
Migori has joined the chat.
LOL
Nairobi is the only one that matters. Hizo towns/cities zingine ni mnyambo wa punda
Kuna kawimbo hawa genZ wanaimba kako na rhythm mzuri
Eti , ametuzoeya, ametuzoea zakahyoo ametuzoeaa
‘Anguka nayo’ ndio ile ngoma wanatumia lately. I think ni ya tipsy G. Itakua club banger hio
Gen z waache upuzi
No wonder calabash hakuna lanye mkamba leo
Manzee who provided them with the coffins juu they look new. And sio kidogo banae. And there is a hardcore group that’s not even intimidated by the cops and tear gas. They throwing stones at the cops. I think mbogi ya Baba iko ground leo