Huwezi sota juu ya pombe yako solo. Msee husota madame na mafans wakiingia kwa mix. Hiyo ni kitu nimenotice. Sijawahi lewa more than 1k nikiwa solo or just paying for my beer. Ukiblunder kubuyia mraia ama dame pombe hesabu inaharibika. Pombe yako solo haiwezi kusotesha
true… but maybe your male friends are pussies, wanakosaje kurudisha mkono???
Msee ambaye harudishi mkono is a leech. To be avoided. Like the plague. At all times.
How old are you guys. siku za rounds ziliisha na mkoloni. BYOB. Why would you entertain cheap stake free loaders then complain ?
Habari yenu watchmen na night runners
You a leech or a seeder @Jay Ule Msee
just an ordinary kenyan. kutafuta unga tu online
Sisi hata tukienda bash iwe chali au manzi mtu hubeba drinks zake hakuna za sare siku hizi
madem peke ndio wana capacity ya kutoboa mfuko na pombe…if it is entertaining your boys unawanunulia mzinga ya legends na kufunga chapter. mtu anataka beer ajinunulie.
fobe mwanaume utanunulia tu once in a while and if aibu or guilt does not consumer him and he keeps showing up empty handed kwa pub, then avoid him. How does one feel kununuliwa pombe na ndume ingine the whole night as if he is a prospect
Well known as anti-buyers
Hehehehe, Hamjawahi enda zile hood mulizaliwa, you blunder and enter a drinking joint, most folks want to freeload on you.
PS: This is if you are from the original Eastland.
There are many shameless men around. The breed I hate most ni wale wa kunipigia simu especially weekends ati… ‘uko wapi mkubwa nikuje ununue pombe?’.
Kama hauna pesa kaa kwenye uko wacha kunitafuta.
Alafu kunasampuli nyingine ,when he freeloads from you, anafanya hesabu anaona uko karibu kufirisika. Then he starts making calls to other niggas asking wako wapi ndio akatop up.
:D:D:D…ama the proverbial “wacha niende ivi nakam”