Kiatu kisichoisha…
Nimeulizwa hilo swali na mtoto wangu nikajipatia shughuli ya kwenda kutafuta gazeti. Magwiji ebu nisaidieni at least nikirudi kwa hiyo nyumba nikuwe na answer
Kiatu kisichoisha…
Nimeulizwa hilo swali na mtoto wangu nikajipatia shughuli ya kwenda kutafuta gazeti. Magwiji ebu nisaidieni at least nikirudi kwa hiyo nyumba nikuwe na answer
Patia Raila.
@123tokambio leta jibu…
Wayo
I’m strong as a rock, but a word can destroy me. What am I?
Thank you very much. You just saved me the embarrassment of the week.
Hehehe enyewe macopper huwa clueless
Hehe… ama pengine the guy who started this thread ni Raila mwenyewe na amekuja ktalk na vitendawilli zake
Silencio
You might be onto something, Einstein.
Hizi vitendawili hubadilika na kuongezeka kila uchao… Sina habari na hii…
Let me consult baba…
ghassia umbwaaaaa
…hakivaliwi