Kiswahili ni lugha ya pill inayotumiwa na watu wengi zaidi Afrika baada ya Kiarabu. Kifaransa ni ya tatu ikifuatiwa na Kiingereza ambayo inashika nafasi ya nne kwa matumizi ya mawasiliano barani Afrika.
Kwa mantiki hiyo kumbe kujifunza lugha ya Kiswahili ni kupanua uwanja wa mawasiliano na Waafrika wengi na wala sio ushamba au uzamani,
Kuna watu wanaitwa Allan na tupo pia tunaoitwa Allen. Allan ni uandikaji wa jina kwa kufuata lugha ya kifaransa wakati Allen ni kwa kufuata misingi ya uandishi wa Lugha ya Kiingereza.