Kiswahili kitukuzwe

Mbona ukiwa foreigner ufunzwe lugha na wenyeji huwa tu vulgar. Kuna mnaija tulimfunza kiswahili pale campus. Nilimfunza kusema matako ni kusema hi. Sasa alikuwa anaona msee beste team mate ana shout “matako” aki wave hello…

https://twitter.com/Josh001J/status/1719178285186179076?t=PMYWhbd-sOZoXorFnmwTgg&s=19

This topic was automatically closed 30 days after the last reply. New replies are no longer allowed.