Kiswahili kifukuzwe

Kiswahili kilikuja na merikebu sio lugha yetu.
Jibuni hilo swali tukigojea ndugu @xuma atupatie jibu

Inaitwa kithei.

UNASUMBUA!

Wamukata Kameni?
Kithei Kia @Mundu Mulosi kikuvalukio ni mbua

@Art kuja uokolee hii mtu inasema kiswahili kifukuzwe

Wasagaji ni lesbians!

Nimeona @coldpilsner ameiita kishiagi na kushiaga

Wasaga unga.

wenye kisiagi next…

hauoni author wa hi post ame andika “kisweli” pia heheh

kiswahili lugha ngumu

mie nadhani wanaitwa vuloo milasi

Hio sio kiswahili, hapo ninalea piu, aiii

:D:D:D:D:D

@Art wewe umegongwa na ngoma cia aka.

meria unasumbua… we kula ugali!! Shida yako ni kisiagi or what?

This is a new breed of maize that produces powdered maize

:smiley:

Regorego

wasei…

Kisweli,

Pia kuna kusondeka gari