KISWAHILI ENDELEVU

Cc: @xuma

  1. scratch card -
  2. simcard -
  3. memory card -
  4. micro wave -
  5. Duplicating machine -
  6. photocopier-
  7. cocktail party -
    8.Air conditioner-
  8. lift-
    10.Password-
1 Like

8.Air conditioner- kiyoyozi
10.Password- Nywila

2 Likes

Kazi nzuri. Wacha nimwite @The_Virus aje apitie kwanza kwa sababu nahisi ana majibu kutokana na lile somo alitufunza hapo awali.

1 Like

Majibu yako ni sawa kaka.Umegonga ndipo.

1 Like

[B]Wacha nichukue jukumu mwenyewe.

MAJIBU

  1. scratch card -Kadihela
  2. simcard - Kadiwia au Mkaminu
  3. memory card -Kadi Sakima
  4. micro wave -Tanuri ya miale
  5. Duplicating machine -Kirudufu
  6. photocopier-Kinukuzi
  7. cocktail party -Tafrija Mchapulo
    8.Air conditioner-Kiyoyozi
  8. lift- Kambarau
    10.Password- Nywila

Natumai mko sawa kaka @Eng’iti na @123tokambio .[/B]

2 Likes