Kiswahili Endelevu

Umejaribu lakini jibu la kwanza ni jibu la swali la pili na la pili ni la swali la kwanza.

Sivyo kaka.

(4/5)Kuna moja tu imekupiga chenga. “Implements”.

1 Like

vifaa?

1 Like

Ni ‘vifaa’ ndiyo lakini kuna jina mwafaka. Wacha niwape dokezo(hint). Nikitaka kusema ‘Farm implements’ kwa kiswahili nitasema aje? @Six Thousand Blankets ‘Zana’ lina uzito kiasi.

MAJIBU YA LEO

Chemsha Bongo

Tafsiri ya haya maneno kwa kiswahili;
-Implements… Pembejeo
-Bacterium…Kijasumu/kijimea/kijidudu
-virus…Kirusi/Sumu/Kiunguza
-Accord…Mwafaka/Wafiki/Mkataba
-Avocado…Parachichi

Shukran kwa wote walioshiriki. Kesho kuna chemsha bongo nyingine.

1 Like

[ATTACH=full]49635[/ATTACH]

namna iyo xuma, tujifunze kiswahili jamani jirani zetu wakenya, Tz alone can not, mdo mdo taratibu towards emancipation of mental slavery, we’ll be a role model to the whole Afrique, hence an emergence of the greatest nation that has ever lived, united states of sub sahara africa later on usa baada ya wale wa kaskazini kuona umuhimu.

Hehe … ni shida

1 Like

Nilikuwa nafikiria kuwa ninajua Kiswahili lakini leo pwagu amepata pwaguzi.

1 Like