Kisumu

I need some help.i have a cousin anahamia hii town and he is seeking knowledge concerning the best estate kuishi. He called me but i was last there 7 years ago i might have lost bearing

Ako na budget ya 7-15 per month as for now amepata hao mowlem na mamboleo are those estates safe kuishi ama there are better ones in that budget?

Kondele ama dunga beach

Tell him to try milimani estate. But a better place is Riat Estates.

Na hio budget yake?

Near state house !

Kondele is a slum. Plus manyatta.

Mambo leo is good. Most lecturers around Kisumu stay there.
I was there couple of years ago. I don’t know if they finished working on the road. But generally a good place.

Hio pesa asikae karibu na tao if he wants a decent house. Atayarishe kwenda maseno ama aingize Kondele. Mimi kama nyumba si two bedroom minimum siwes ishi

That’s your personal preference.
No one asked you to go and live there.
Kiherehere mingi na mharo ya mdomo ni ya nini?

Elgons na hio budget atapata nyumba. Mamboleo barabara bado. 12 k atapata one br safi migosi estate ama 15k lolwe estate. But lolwe is better

Asante mowlem unapajua?

Aende lolwe estate atapata na hizo range. Huko ni relatively safe, mamboleo ataona fire juu ya wezi

Afathali lolwe migosi iko na many criminals

I have never been to Kisumu,why should I go there anyway.
Kisumu=Stone throwers

I wish the stones were specifically aimed at kabat bomoares like you

Yeah hapo ni home

Yes huko si mbaya pia

Sasa wewe pahali mbali unajua ni ndumberi stage bus station na karumaindo room 254 pahali wewe hufunguliwa boot utatuambia nini watu hutembea hii kenya kama estate yetu. Wewe hujawai pita kinoo shoga hii

Kuhamia Kisumu, it like telling me to relocate to Mzansi

What would you rather know,kwenu ama kwa wenyewe.Hapana tambua Kisuma

lolwe iko sawaama polyview.
I used to live in Lolwe, iko poa