Kisii

Talkers… Can I travel to Kisii from nairobi and come back same day. Of course Kama safari itakuwa salama

Yes but you should leave mapema it’s a five hour journey when moving fairly quickly.

fika country bus by 5am, panda Nyamira express, saa nne utakuwa kisii, panda ya saa nane n by 7 utakuwa nairobi

Eldoret expess huwa inaenda

It’s 9 am where am… Naeza pata bus now

wewe utarudi Nairobi usiku wa manane.

It’s also 9am where all Kenyans are at the moment. Unafikiria kisii ni muranga! Ungerauka kijana.
Meffi

hujasaidia chochote… Ignored

If u driving and you are fast! yes you can. Mimi natoka Nairobi Hadi Busia and back in one day!

Are you going for p**sy?!

nope…bigger than kuma

kama unaenda na psv then enda hapo Afya Centre kwa Peti ya OilLibya uchukue hizo ma voxy… They are pretty fast!! kama wewe ni Mbirionea wa the jaza gari ngata na udevelop oedema… Kazi ni kufinya pedal mpaka kwa mabati

It’s a 4-5 hr journey, so yeah, you can.

Na bus hapana. You will take 2 hours from town to Kangemi then another 2 hours kwa escarpment. Omba lift ufike mbio

[ATTACH=full]199071[/ATTACH]

Left Nrb at 5am by 830am nilikua Kisii Coop bank branch wakifungua using Mai mahiu route. 20mins nikarudi. By 3pm nilikua home na gari imeoshwa iko parking