Kisii Translation

Hello elders…naomba usaidizi wenu in translating this word
" Gaki omwana onee"

My Kisii is not that polished…I appreciate the help.

@Eng’iti saidia @Bokilo aweze kuwasiliana na malaya vipoa

Woiyee mtoto wangu.

Io ngombe irushe jugdaniel tuisaidie.

Egesaganeke

Egetigoro

:D:D:D Hujamshow poa

Batunyarire…

Kisii na kimeru huwa Zina sound same ama ni mimi huskia zangu?

Woii mtoto wangu

hapana bana :smiley: ziko very different apart. i always think kimeru, kikuyu and kiembu are the same languages.

Itabidi niwaskize nijue tofauti

Ina maanisha wewe ni esese.

Eng’ende eye

Sasa una translate kwa kiluhya bane

Turia a mumbi

Sema tu hujui kimeru. What do you call the following in Kisii? Dog, cat, mouse, sheep , a house , number 20, small, moon?

Yaani Ii tu ndio unajuwa?

I have discussed this topic here before. Kisii are originally the Ameru people who settled in the current Highlands of Nyamira Kisii and related regions, after being driven away from the lake area by the Kavirondo. I’ve also proven a theory of the Kamba’s being the offspring of Kikuyu worriors and Maa women, they did not come from Congo as earlier taught in GHC. I’m done ranting.

Exactly