[ATTACH=full]19078[/ATTACH] [ATTACH=full]19079[/ATTACH] [ATTACH=full]19080[/ATTACH] [ATTACH=full]19081[/ATTACH] [ATTACH=full]19082[/ATTACH]
kiroma ni nini?
Food
Wapi Avacado msee
Game ibambe
[ATTACH=full]19083[/ATTACH]
mzae. hata kama life inaanza 40, utakula aje choma na avo??
Hio cutting board si imeona maisha refu
Aki bro, jaribu kachumbari ya avacado. Utajua maana ya finger licking
Aki bro, nimeacha pombe thurday and you are here with your temptation s. Riswa…(gooos bla bla )
aaih hapana. ama ni kama meno imeisha nyama inateleza tu kwa throat?
I thought kiroma ni kuku
Ha ha ha. Umeacha juu mwezi iik kona soon as you get your salo you’re back in it
na ikue imefinyiliwa ka ndimu
[ATTACH=full]19090[/ATTACH] [ATTACH=full]19091[/ATTACH]
Hiyo ugali haijaiva,you must be somewhere in sentro.
ulikula wapi central kijanaa?
Nyeri,Kungu Maito!!
Hiyo kachumbari ya avocado mnasema walami huiita guacamole.
nilikua nashangaa hii ni choma gani imetengenezwa ofyo hivo, kachumbari nayo nikama imekatwa katwa na panga na tena iko na tucabbage…
ndugu yangu Kula utoke mbio, mwenye hiyo butchry hafai kulipwa…
Siku hizi wanaume wa ktalk na ma kitchen 'selfies '…Go read a newspaper or something.