KIRDI land construction

Was in that neighborhood leo Popo road south c, opposite Akila police stenje iko a huge plot belonging to KIRDI a government parastatal that is been excavated, raia wanasema it’s a mall coming up.

hata hio ndio swali nilikua najiuliza how can a mall be constructed on government land ama ni woriah watoa pesa waijenge halafu wapewe title deed? lazima kuna ukora hapo.

1 Like

Kanjo walienda hapo wakalimwa ajab

Hehe na nani?

Umbwau

Wacha watu wanukishe kitunguu

peleka mbwa yako romantic lunch wanaume wakiongea

io ndio inafaa. io organisation inahitaji shamba south c ya kufanyia kazi gani? shopping mall itacreate employment.

organisation za serikali hazifai kumiliki mashamba

1 Like

Kweli all government offices should be devolved to far flung areas.
Police Hq-Lodwar
Defence Hq-Tiaty
Statehouse-Rumuruti
Office of the prime minister spouse-Sabatia
Etc, etc
In the meantime Nairobi ibaki kama cartel playground

1 Like

Na akina @Bingwa_Scrotum .Saw gory pics on Twitter

1 Like

Anus licker, inasemekana ni jabass amejinyakulia? What say you from the anus lickin insights?

1 Like

Hata hio shamba ya state hause wajenge mall na affordable housing.

1 Like

Haijalishi, bora hajanyakua ajiwekee bila kuitumia ikuwe idle, hakuna shida. Bei ya mashamba imeenda juu sana sababu mashamba yote iko kwa mikono ya state corporations chache, na ile kisehemu sisi wote tunapigania ni kidogo.

Hope the owner did feasibility study. South c haina watu wengi wa kujaza mall. I think a school would have been a better option, especially international as rich waria like taking their kids to such

You are right but also wrong. Yes KIRDi can be allocated land elsewhere but who sold the government land. With that argument, most government offices in the CBD don’t have to be located there. The problem is, who pocketed the funds.

1 Like

Oh my, anus licking impunities, what happened Kwa Ile hope ulikuwa nayo? Is anus licking that bitter?

shida yangu ni unapata government agency inahusiana na mambo ya passports iko na shamba ya thousands of acres. ingine inahusiana na kupeana marriage certificates iko na shamba inatoka hapanhadi kule. za nini? izo mashamba ndo huleta ufisadi.

2 Likes