Kipanya kama kawaida yake!

[ATTACH=full]177110[/ATTACH]

Masoud, Mungu akulinde.

Huyu jamaa anajitambua sana

hilo diaba hata katikati halitafika

kwanza likijaa wanalitoboa

Kipanya the great

noma sana

Ujumbe mzito sana,Iyo ni zaidi ya fasihi andishi

Huyu jamaa anajua

Kamua kodi kwa wanyonge litajaa tu

mwananchi aliyeshikwa anaogopa kabisa huo mzigo utajaa vipi maana kilichopo na kinachohitajika ni hatari

Mshale umekwamia kwenye 1.5 bila shaka hicho kinywaji kinaitwa Trilion

Hicho kichwa cha mwenye suti nyeusi kama mlima oldonyo lengai.

Hivi nani anaewalazimisha kutusomea bajeti hewa?

Kipara ng’oto.

Kaazi kweli kweli

teh… ngoja nimtag jiwe.

Ki sports

Always Masoud is the best aisee

Huyo alokamatwa ni nani wakuu?

Leo tupo na Bajeti ya Kijani