Before I finally switched to malimali n gas , originally I had a kinyozi …in a small urban centre… Biggest challenge Hadi waleo watu hunyolewa na 50/= , watoto 20/= , in a day ningenyoa 5 adults n like 6 kids so I would make 370/= except on weekends kitu 800 n holidays … Some adults will even pay 30/= na wengine wakope … Kwanza hao wakunyolewa styles , ni time wastage tu…so monthly income was like 13k minus rent 3k, = 10k , minus bills 3000= 7,000/= …so utabakia na 7k ivi note it’s a tiresome job n more prone to skin infections … Ilibidi I give up na hiyo hustle
Leta hekaya ya skin shedding
Hii Kazi Unafaa vijana bachelors. Kuna mahali nilinyolewa Limuru town wakatake their time hadi nikajiambia damages zitakuwa kama soo kadhaa. Imagine kumaliziwa nauliza ni doo ngapi nikaambiwa ni 50 Bob nikawahurumia Nika ongeza 50 ingine. Nikajiuliza maswali mingi sana vile wao humake dough coz lazima pesa igawanishwe thrice i.e stima, mwenye biz na Kinyozi mwenyewe
Halafu Kuna wale wanataka kinyozi specific na style Ni Jordan tuu.
Siku hizi Congolese and Rwandan barbers are more common.
Do we have a rural urban centre in the first case?
Nikinyolewa na less than 100 bob lazima niongezee mnyoaji ifike Mia.
[ATTACH=full]448829[/ATTACH]kunyoa ni hivyo alafu each side napiga line kutoka mbele hadi nyuma… I keep my hair shaggy but well maintained.
Damages 70.
It’s advisable to always tip your barber.
biashara ya kutarget rural areas most of the time ni hasara. The rural areas of Kenya are populated with some of the poorest people on the planet