Players like kuria na gachagua ni wadogo sana hii kenya, hii kenya ina wenyewe, Ruto mwenyewe anajua without the backing of the owners hii kiti hangepata. About this protest i believe a deal ishafanyika already, the protests are just formalities to legitimise the handshake
Talk of belling the cat. Will salonist and Sunday school choirmaster Catherine Kindukulu Kindiki accomplish what others who came before him failed to accomplish?
High IQ. You have echoed what I said one month ago. Deal was sealed long time ago, maandamano is just to justify the handshake. Gachagua seems to be aware and that’s why he so bitter akikumbusha watu kila siku vile ameweka traps state house
Juzi nilisema Ruto na Baba wako na common enemy, na ivi karibuni watakuwa temporary friends. Kwa nini Baba anataka kuharibu nchi? Zile billions anataka, pesa ya umma, atapewa. Ile watu anaharibia biashara zao watakuwa compensated na nani? Chenye baba anataka atapewa, Ruto anajua bei ya Raila. Awache kuharibu nchi
I just laugh when I see how staunchly some people cling to a public office as though it’s some private kingdom. Siku inakuja, when we’ll be seeing them around as ordinary men and all this nonsense of throwing one’s weight around will be history. How will they live then? I saw my former governor walking in my hood recently, then remembered how hard I had tried and failed to access him while in office. I could have stopped to talk with him, but I didn’t need him anymore. These offices are for a time. Mtu achunge kazi na awache majivuno wakati wananchi wanamhitaji.