I appreciate the work you guys do in bringing us jic ya macho, and wouldn’t in any way think of belittling your noble labours.
However, could you guys please stop putting pictures za Corazon (is that even her name?) Kwamboka? Ananikalia mshenzi sana, na kila napomwona kwenye orodha ya pichs mnazopost, psyche inaisha.
If that isn’t possible, mnaweza weka spoiler kwa photos zake?
I’m conducting a poll to see whether I’m the only one with this opinion.
niliwacha saa hii naishi bila Cave kwa amani hata blood pressure imeshuka na ngozi imewacha kua na rashes kila wakati. maisha ni tamu once again. Kama familia inakupeleka musuri shikilia hapo lakini mtu akibadilika awe shetani jitoe you have one life. ndoa sio kila kitu. na pia nahubiria vijana baro baro hapa kadhalika ambao hawajaoa. wasiwe na haraka the world is their oyster. sema ameeeen!