kwakweli tangu jana nimejiunga humu baada ya mtandao mkubwa kabisa wa kijamii tanzania kufungwa sasa nimehamia mtandao wa wakwenya kutoa nyongo yangu
nashukuru sasa niko karibu na mabint wa kenya naamin nitapata mpenzi toka kenya baada ya kujiunga humu. hii imeonekana mapema baada ya kuona mademu wa kenya wanafunguka hadi raha, wala hawajishauwi kabisa.
ninahamu ya kupeperusha bendera ya Tanzania nchini kenya kwa kuzaa na mwanamke wa kenya.
kama suala la ela basi tutatafuta wote, nikl tayri hata kuwa king’asti
.madem wa bongo wazinguaji sana, mara wakungushe weeeeeee utafikiri kipochi manyoya chake cha dhahabu
sichagui rangi kabila dini wala nini, hata kama unanyonyo ndala kama mwajuma nipe we