Cement ni noma kupata na bei ikifika kwa ground ni @600 from @530
Si wewe ni jamaa wa Putin
Nilikuwa nanunua bamburi @700 about 10 years ago…how now?
Chuma ya mjei imepanda sana pia
Na saa hizo unaskia mwenye anafaa azingatie hii maneno amevaa saa ya mkono worth 37 Million kwa hii uchumi ya ufukara. Waafrika huwa tuko na kasoro
He only has 4 months. Hizi ni shida mingi kwake. Mentally, alishaa jitoa.
:D:D:D:D:D…if he can’t be trusted to run any family business what makes you think he is able or willing to help you
Na machuma kaa D8 - D16 je? Naskia pia ni juu ya scrap metal
Itabaki tumepunguza simiti class ya concrete ishuke kiasi bora ni ground floor, chuma pia place ya D12 D10 katambe. Bora keja!
Illuminati ile siku shetani atareform anze kukula matumbo na manangu. Niambie i might reconsider joining your secret cult.
[ATTACH=full]424706[/ATTACH]