This thread should be in the news and politics sekshen but hapa relationship inaguziwa. Hii ndio watu wa nyota huita spirit ya rejection. Walai!
https://x.com/TheStefanMambo/status/1877758133252022401?t=H5d89jO5Ta65S-EgIuld9g&s=19

Vile inafaa humbweer yeye. Yani ata ding’oing’o Blackson anakuja akiwa amempita tu kama watchman very nice. Kasongooooooo lazima uondoke
Who wants to hobnob with a certified thief?
He must go.
All this embarrassment can’t happen to you ukikaa kwako na kuchapa KAZI . Don’t go around to any function you hear or are invited lega ama utume congratulations . Huyu akiapishwa unaenda huyu akioa unaeda wtf
Even someone from Ghana can win the election